| Danny Welback (Kushoto-Man utd) akiwa na mwanamitindo Mary Sodenbergh katika kisiwa cha Ibiza nchini Hispania wakila raha. |
| Cristiano Ronaldo yeye yupo Miami nchini Marekani, hapa alikuwa kwenye boti ya kukodi akitokea Setei Hoteli kuelekea mjini na rafiki zake |
| Gerard na mkewe wakiwa Ibiza |
| Evans (Man utd) mwenye bukta ya bluu akiwa na mkewe pamoja mchezaji wa Tottenham Walker (aliyechuchumaa) kwenye fukwe za Barbados |
No comments:
Post a Comment