Saturday, February 22, 2014

Picha na Video: Mourinho aingia ndani ya uwanja

BhGvJ5CIAAIDWWk Jose Mourinho walked onto the pitch during Chelsea win over Everton [picture & video]
Picha hii inamuonesha kocha wa Chelsea, Jose Mourinho akiwa ndani ya uwanja kwenye mechi kati ya Chelsea na Everton jana jioni. Mourinho aliingia uwanjani huku mechi ikiwa inaendelea akilalamikia maamuzi ya refa. Picha pia inaonesha alikuwa amesimama nje ya sehemu anayotakiwa kusimama. Tukio hili ni la kushangaza na kuchekesha kwa kocha kuingia uwanjani wakati mpira unaendelea. 

No comments:

Post a Comment