Saturday, February 22, 2014

Platini asisitiza kuondolewa adhabu tatu za penati

Enough is enough: Michel Platini, speaking in Nice ahead of the draw for the 2016 European Championships, wants an end to the triple punishment of red card, penalty and suspension
Rais wa UEFA, Michel Platini ameendelea kupinga adhabu tatu wanazopewa wachezaji baada ya kusababisha penati. Platini anapinga adhabu hii kwasababu, mchezaji anaposababisha penati kadi nyekundu inatolewa, adhabu ya kutocheza mechi tatu au pungufu pamoja na penati juu. Mawazo ya Platini ni kwamba, kama mchezaji atasabisha penati basi itolewe adhabu moja ya penati peke yake na kadi ya njano kama italazimika. Mawazo haya ya Platini yalipingwa na bodi ya FIFA na labda yanaweza kuja kufanyiwa kazi miaka ijayo.

No comments:

Post a Comment