Abou Diaby kiungo mkabaji wa Arsenal atalazimika kukaa nje
kwa miezi nane hadi tisa baada ya kuumia kwenye mazoezi siku ya Jumatano. Diaby
ameaumia kwenye goti la mguu wa kushoto. Daktari wa Arsenal amesema Diaby
itabidi afanyiwe upasuaji mdogo ili kuweka vizuri mifupa iliyoumia. Diaby
ameungana pamoja na Theo Walcott na Jack Wilshere ambao pia ni majeruhi.
No comments:
Post a Comment