Thursday, April 18, 2013

Chelsea wametoa jezi zao mpya za msimu ujao

True Blues: David Luiz, Gary Cahill, Fernando Torres and Oscar model the new Chelsea kit
Luiz, Gary, Torres na Oscar wakiwa kwenye jezi mpya za Chelsea zitakazotumika msimu ujao. Wapenzi wengi wa Chelsea wamezipenda jezi hizi wakizifananisha na jezi za miaka ya zamani
Fernando Torres
Ya zamani 
Fernando Torres
Mpya

No comments:

Post a Comment