John Terry na Frank Lampard wakimkabidhi Michael Platini Rais wa UEFA kombe la champions ligi wakiwa kama mabingwa wa kombe hilo msimu uliopita. Mwaka huu kombe hili litakwenda Ujerumani au Hispania ikiwa zimebaki timu nne kutoka nchi hizi (Bayern Munich, Borussion Dortmund, Barcelona na Real Madrid) |
Wachezaji wa Chelsea wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa UEFA Platini siku ya kukabidhi kombe la UEFA champions kabla ya Platini kulikabidhisha kwa FA ikiwa ni waandaaji wa fainali za UEFA mwaka huu kwa upande wa wanaume na wanawake zitakazofanyika kwenye viwanja vya Wembley na Stamford Bridge nchini Uingereza
|
No comments:
Post a Comment