Luis Suarez anangojea maamuzi ya FA baada ya kitendo chake cha kumng'ata beki wa Chelsea Branislav Ivanovic katika mchezo wa ligi kuu ya England kati ya Liverpool na Chelsea. Suarez amekiri kufanya kitendo hicho na amemwomba masamaha Ivanovic lakini FA wamesema wataangalia upya tukio hilo na watatoa adhabu kwa mchezo huyo ndani ya wiki hii.
Video inayoonesha Suarez akimng'ata Ivanovic
No comments:
Post a Comment