Pichani ni watoto wa David Beckham wakifanya mazoezi na PSG wikiendi hii. Brooklyn, Romeo na Cruz wameonekana mara kwa mara wakimfuata baba yao kufanya mazoezi kitu ambacho kinawafanya watoto hao waanze kujijengea mazoea ya kuucheza mpira, kwa hali hii hakuna atakayeshangaa kuwaona watoto hawa wakicheza kwenye klabu kubwa baada ya miaka mitano mpaka kumi ijayo. |
No comments:
Post a Comment