Samir Nasri (Man city) aliokoka kupewa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu mbaya beki wa Tottenham Walker katika mchezo wa ligi kuu baina ya timu hizo. Mbali ya kuokoa huko Nasri anaweza kupewa adhabu na FA kama vyombo vya habari na Tottenham watalikuza jambo hili kwasababu rafu ya aina hii ni adhabu ya kadi nyekundu moja kwa moja. |
No comments:
Post a Comment