Bingwa mara nane mfululizo toka mwaka 2008 hadi 2012 Rafael
Nadal leo ameutema ubingwa wake baada ya kupigwa kwa seti mbili mfululizo na
Djokovic kwenye michuano ya tenesi ya Monte Carlo Masters nchini Ufaransa.
Djokovic amempiga Nadal kwa seti 6-2, na 7-6 mchezo ambao ulikuwa mwepesi kwa
Djokovic tofauti na mategemeo ya wengi. Nadal atasingizia kuwa ametoka
kwenye kujiuguza majeraha kwa muda mrefu ndiyo maana amefungwa lakini ki-ukweli
Djokovic yupo juu sana kwasasa na atagemewa kuendelea kushikilia nafasi ya
kwanza duniani mwaka huu wote.
|
Sunday, April 21, 2013
Djokovic ampiga Nadal Monte Carlo Masters
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment