Angalia siku Andre Agassi and Roger Federer walipofanya mazoezi kwenye kiwanja cha tennis kilichopo juu ya hotel maarufu Dubai ya Burj al Arab. Agassi na Federer walialikwa na uongozi wa hoteli hiyo kwenda kufanya mazoezi ili kuitangaza, kiwanja hicho kipo juu ya hoteli umbali wa mita 330 kutoka chini.
No comments:
Post a Comment