Saturday, May 4, 2013

Floyd Mayweather kuzichapa na Guerrero Mei 5

Bingwa wa WBC welterweight Floyd Mayweather kesho alfajiri (Mei 5) atashuka dimbani kupigana na Robert Guerrero. Floyd huu utakuwa ni mchezo wake wa kwanza baada ya kutumikia kifungo cha mienzi miwili jela baada ya kumpiga mpenzi wake wa zamani. Floyd ambaye bado hajawahi kupigwa hata mchezo mmoja ataingia ulingoni na machungu ya kutokupigana kwa muda mrefu lakini pia atahitaji kurudisha heshima yake ambayo imeshuka baada ya kifungo. Floyd anajulikana kwa makonde makali yenye kasi na watu wengi wametabiri kuwa atampiga Guerrero katika raundi za awali licha ya kuwa mchezo utakuwa na upinzani tofauti na michezo mingine ambayo Floyd alicheza. 

Takwimu zao ni kama ifuatavyo
Floyd Mayweather

Weight: 146lbs/10st 6lbs
Age: 36
Reach: 72"
Record: 43-0 (26KOs)
Stance: Orthodox
Robert Guerrero

Weight: 147lbs/10st 7lbs
Age: 30
Reach: 70"
Record: 31(18KOs)-1-1
Stance: Southpaw


Entourage: As usual, many others surrounding the two fighters
Floyd Mayweather kushoto na Robert Guerrero kulia wakitambiana kwa maeno siku ya kupima uzito.
Fighting shape: Floyd Mayweather weighed in one pound under the welterweight limit at 146lbs
Floyd Mayweather -146lbs/10st 6lbs
The challenger: Southpaw Robert Guerrero is the underdog
Robert Guerrero -147lbs/10st 7lbs

No comments:

Post a Comment