Rafel Nadal ameshinda Madrid open baada ya kumfunga Wawrinka kwa seti 6-2, 6-4 katika mchezo uliodumu kwa dakika 71. Ushindi huu unakuwa wa 55 kwa Nadal na anategemewa kuendeleza ubabe wake kwenye michuano inayofuata ya French open akiwa kama king of clay court |
Ronaldo, Pepe na Ramos walikuwepo pia uwanjani kumshuhudia mshikaji wao wa karibu Nadal akimchakaza Wawrinka kwa seti mbili mfululizo. Nadal ni mdau mkubwa wa Real Madrid karibu kila mechi ya Madrid huwa ana hudhuria. |
No comments:
Post a Comment