Baada ya harusi yao tarehe 1 June mwaka huu, Jonny Evans (Beki wa Man utd) na mkewe Helen McConnell (Mtangazaji wa MUTV) wamekwenda honeymoon kwenye kisiwa cha Barbados kilichopo pembezoni mwa bahari ya Caribbean, kisiwa hiki ni maarufu kwa wanandoa kwenda kupumzika baada ya harusi. Evans na Helen walianza mahusiano siku ambayo Helen alimfanyia interview Evens kwenye TV ya Man utd, tokeo siku hiyo walianza kuwasiliana hadi kufikia uchumba na tarehe 1 Juni wakafunga ndoa. |
Evans na Helen walivyotokelezea siku ya harusi Juni 1 |
No comments:
Post a Comment