Thursday, June 13, 2013

Messi atuhumiwa kukwepa kodi nchini Hispania

Barcelona's Argentinian forward Lionel Messi gestures during UEFA Champions League semi final first leg football match between FC Bayern Munich and FC Barcelona on April 23, 2013 in Munich, southern Germany. AFP PHOTO / PIERRE-PHILIPPE MARCOU (Photo credit should read PIERRE-PHILIPPE MARCOU/AFP/Getty Images)
Waendesha mashtaka wa serikali kuhusu masuala ya fedha nchini Hispania wamefungua malalamiko wakimtuhumu mchezaji maarufu wa soka wa klabu ya Barcelona Leonel Messi kwa ugandanyifu wa kulipa kodi unaokadiriwa kufikia euro mil 5. Waendesha mashtaka hao wamesema tuhuma hizo zinamkabili pia baba mzazi wa mchezaji huyo Horacio Messi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Uhispani, kesi hiyo itasomwa tena mwezi huu na kama Messi na Baba yake watathibitika na tuhuma hizo watahukumiwa kwenda jela miaka sita au kulipa faini. 

No comments:

Post a Comment