Tuesday, June 11, 2013

Balotelli amvisha pete mpenzi wake

Has he popped the question? Fanny Neguesha posts a picture of a ring with the caption: 'It official.... Like me' Settling down: Balotelli and Fanny Neguesha look set to marry
Mshambuliaji wa Ac Milan Mario Balotelli amemvisha pete mpenzi wake Fanny Neguesha baada ya ahadi za muda mrefu. Taarifa hizi zilitolewa na Fanny mwenyewe kupitia akaunti yake ya twitter katika kuonesha furaha aliyonayo. Mario mwenyewe amesema kwasasa mapenzi yao ni ya kweli na wanaelekea kufunga ndoa, na amesema mipango yote ya harusi yao wataifanya wakiwa likizo baada ya Mario kumaliza mechi za kimataifa na timu ya Italia. Mario na Fanny walianza mahusiano miezi sita iliyopita na walishakwaruzana mara kadhaa hadi kutangaza kwenye vyombo vya habari lakini waliweza kujisuluhisha hadi kufikia hatua ya kuvishana pete. 

No comments:

Post a Comment