Timu ya taifa ya Brazil jana iliifunga Ufaransa kwa mara ya kwanza tokea mwaka 1992, Brazil ilishinda kwa magoli 3-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika nchini Brazil kujiandaa na michuano ya Confederation cup. Magoli ya Brazil yalifungwa na Oscar, Hernanes na Lucas. |
Oscar na Neymar wakishangilia goli la kwanza lililofungwa na Oscar katika dakika ya 54 ya mchezo. Angalia magoli ya mchezo huu kwenye tab ya Video highlights juu ya blog hii |
No comments:
Post a Comment