![]() |
Kolo Toure mchezaji mpya wa Liverpool, leo amewasili rasmi Anfield kwa ajili ya kuanza mazoezi pamoja na wachezaji wenzake. Kolo amejiunga na Liverpool kama mchezaji huru akitokea Man city, klabu aliyoichezea kwa miaka minne. Aspas na Luis Alberto pia wameungana na Kolo kwenye mazoezi ya kwanza na Liverpool. |

No comments:
Post a Comment