![]() |
Kocha mkuu mpya wa Man utd leo ameanza rasmi kazi akiwa na wasaidizi wake Steve Round, Jimmy Lumsden na Chris Woods. |

![]() |
David Moyes akiwa kwenye ofisi yake kwa mara ya kwanza leo. Kazi ndiyo imeanza ya kupanga mipango ya kupambana na Mourinho, Wenger, AVB na Pellegrini. Wapenzi na mashabiki wa Man utd wanategemea mazuri kutoka kwa Moyes kama ilivyokuwa kwa kocha mstaafu Sir Alex. |
No comments:
Post a Comment