![]() |
Huu ni mpira mpya wa Nike aina ya Incyte utakaotumika kwenye mechi za ligi kuu England msimu ujao 2013/14. Mpira huu umeelezwa kuwa na layer tano ambazo zinaufanya uwe madhubuti zaidi ya mipira mingine iliyowahi kutumika. Sifa zingine za mpira huu, unakwenda kasi zaidi na mwepesi kuutumia kutokana na teknologia yake ya kisasa iliyotumika. Nike wamesema unawafaa sana wapiga mashuti ya mbali. |


No comments:
Post a Comment