Elche 1 - 2 Real Madrid
Elche: Elche: Manu Herrera; Damián, Botía, Lombán, Albácar; Rubén Pérez, Carlos Sánchez; Stevanovic, Coro, Fidel; Boakye.
Goals: Boakye 90+2
Real Madrid: Diego López, Pepe, Ramos, Coentrão, Khedira, Ronaldo, Benzema, Arbeloa, Modric, Di María, Isco
Goals: Ronaldo 51, 90+6
Attendance: 28,754
Wachezaji wa Elche wakimlalamikia refa baada ya kutoa penati kwa Real Madrid katika dakika ya 96+ ya mchezo. Penati hii ilionekana ya utatanishi kutokana na mazingira yake. Unaweza kuingalia kwenye video ya chini. Bila ya kutolea penati, mchezo huu ungekwisha kwa droo ya goli 1-1. Kwa matokeo haya Real Madrid imefikisha pointi 16 ikiwa chini ya Barcelona na At. Madrid ambao wana pointi 18. |
Video Penati ya utatanishi iliyoleta mzozo
Video ya magoli yote
No comments:
Post a Comment