Beki wa kulia wa Man utd Rafael amethibitisha kurudi kwake dimbani wiki ijayo baada ya kuugilia majeraha ya mguu. Rafael aliumia mguu kwenye mechi kati ya Man utd na Wigan (Mechi ya Community Shield) jambo lililomfanya akose kucheza mechi za mwanzo za ligi kuu. Nafasi ya Rafael kwasasa inazibwa na Phil Jones ambaye pia aliumia kwenye mechi dhidi ya Liverpool. |
No comments:
Post a Comment