Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amekubali kusaini mkataba mpya na klabu yake, mkataba utakaodumu kwa miaka mitano. Mkataba huu utamfanya Ronaldo awe mchezaji anayelipwa zaidi kwenye ligi ya Hispania kwa kulipwa paundi mil 15, akiwa amemzidi Messi kwa paundi mil 1. Mkataba huu pia utampa Ronaldo asilimia 60 ya haki miliki ya picha zake. Makubaliano haya kati ya Ronaldo na Madrid yamemfanya mchezaji huyu kuwa na furaha kwani kilio chake kilikuwa ni kuongezewa mshahara. |
Sunday, September 15, 2013
Ronaldo asaini mkataba wa miaka 5 na Madrid
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment