Fellaini kwenda Man utd kwa paundi mil 27.5
Ozil kwenda Arsenal kwa paundi mil 42.5
Lukaku kwenda Everton
Fabio Coentrao inawezekana amesajiliwa na Man utd kwani La liga wameshathibisha ila kuna baadhi ya nyaraka zilikuwa bado hazijakimika.
Odemwingie kwenda Cardiff kwa paundi mil 2.5
Ireland kwenda Stock City kwa mkopo
Kaka kwenda Ac Milan bila ada yoyote
Moses kwenda Liverpool kwa mkopo
McCarthy kwenda Everton kwa paundi mil 13
Assou-Ekotto kwenda QPR
Alderweireld kwenda Atletico kwa Euro mil 7
Jerome kwenda Palace kwa mkopo
No comments:
Post a Comment