Droo ya Uefa champions kwa timu 16 inatarajiwa kufanyika jijini Nyon siku ya Jumatatu ya tarehe 16. Sheria zinazotumika kupanga timu hizi ni
1.Timu zilizokuwa kundi moja hazitakutana
2.Timu zinazotoka nchi mmoja hazitakutana
Kwa kufuata utaratibu huu kuna klabu ambazo tayari zipo kwenye wakati mgumu kutokana na nafasi zao. Mfano klabu ya Arsenal na Man city zinawakati mgumu kutokana na kumaliza nafasi ya pili kwenye makundi yao. Timu hizi mbili zitakutana na vinara wa makundi mengine zikiwemo Real Madrid na Barcelona, klabu ambazo miaka yote huwa ni tishio kwa klabu zingine. Mchanganuo mzima wa timu za kukutana nazo kwa klabu za England ni kama ifuatavyo;
ARSENAL
Real Madrid
PSG
Bayern Munich
Atletico Madrid
Barcelona
PSG
Bayern Munich
Atletico Madrid
Barcelona
CHELSEA
Bayer Leverkusen
Galatasaray
Olympiacos
Zenit St Petersburg
AC Milan
Galatasaray
Olympiacos
Zenit St Petersburg
AC Milan
MANCHESTER CITY
Real Madrid
PSG
Dortmund
Atletico Madrid
Barcelona
PSG
Dortmund
Atletico Madrid
Barcelona
MANCHESTER UNITED
Galatasaray
Olympiacos
Schalke
Zenit St Petersburg
AC Milan
Olympiacos
Schalke
Zenit St Petersburg
AC Milan
Mechi za 16 bora zitachezwa mwakani mwezi wa pili tarehe 18/19 na 25/26. Timu zitakazofanikiwa kuingia hatua ya nane bora zitacheza tarehe 11/12 na 18/19 mwezi wa tatu 2014.
Timu ambazo zimeingia 16 bora ni kama ifuatavyo;
Washindi wa kwanza: Manchester United FC, Real Madrid CF, Paris Saint-Germain, FC Bayern München, Chelsea FC, Borussia Dortmund, Club Atlético de Madrid, FC Barcelona
Washindi wa pili: Bayer 04 Leverkusen, Galatasaray AŞ, Olympiacos FC, Manchester City FC, FC Schalke 04, Arsenal FC, FC Zenit, AC Milan.
No comments:
Post a Comment