Monday, January 20, 2014

Hasira za Fabregas baada ya kufanyiwa mabadiliko

Video hii inamuonesha kiungo wa Barcelona Cesc Fabregas akipiga benchi la kukalia wachezaji kwa hasira baada ya kutolewa kwenye mechi dhidi ya Levante na nafasi yake kuchukuliwa na Sergi Roberto. Cesc mara kadhaa amesikika akisema anajua yeye sio chaguo la kocha Tata Martino na ataendelea kungojea hadi hapo nafasi yake itakapopatikana. 

No comments:

Post a Comment