Klabu ya Real Madrid imeendelea kushika nafasi ya juu kama klabu tajiri duniani ikiwa na jumla ya utajiri wa paundi mil 444.7 ikifuatiwa na Barcelona yenye utajiri wa paundi mil 413.6. Klabu ya Man utd ilikuwa ikishikilia namba moja kwa muda mrefu, lakini kustaafu kwa Sir Alex Ferguson na kufanya vibaya kwa timu kumeifanya ishuke hadi nafasi ya nne. Ifuatayo ni orodha ya klabu kumi bora za soka tajiri duniani kwa mujibu wa Deloitte.
No comments:
Post a Comment