Ronaldo akivishwa tuzo ya heshima kutoka kwa Rais wa nchini kwake Anibal Cavaco Silva. Ronaldo amepewa tuzo hii ikiwa ni amri kutoka kwa Prince Henry wa Ureno kutokana na mafanikio makubwa aliyoyapata mchezaji huyu na kuipeperusha vyema nchini hiyo kimataifa.
Rais wa Real Madrid pia alikuwepo
No comments:
Post a Comment