Sunday, April 28, 2013

Arsenal yapunguzwa kasi na Man utd

Timu za Arsenal na Man utd leo zimetoka droo ya goli 1-1 katika mchezo wa ligi kuu nchini England, Manchester United walishuka dimbani kukamilisha ratiba kwani walishatangazwa mabingwa wa ligi hiyo wiki iliyopita baada ya kushinda goli 3-0 dhidi ya Aston Villa. Lakini kwa upande wa Arsenal mambo bado magumu wakiwa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi nne za juu ili kupata nafasi ya ushiriki wa klabu bingwa ulaya (UEFA champions). Kwa matokeo ya leo Arsenal wamefikisha pointi 64 wakiwa nafasi ya nne wakati wapinzani wao Chelsea wameshinda mchezo wa leo na wamepanda hadi nafasi ya tatu wakati Tottenham watacheza mechi yao ya 35 tarehe 4 May dhidi ya Southampton. Angalia msimamo wa ligi ulivyo sasa ikiwa utamu wa ligi upo kwa timu hizi tatu za Chelsea, Arsenal na Tottenham.
#Team NamePWDLFAGDPTS
1Manchester United3527447936+4385
2Manchester City3421856131+3071
3Chelsea3419876835+3365
4Arsenal35181076636+3064
5Tottenham3418886043+1762
6Everton35151465238+1459
7Liverpool35141296742+2554
8West Bromwich Albion34146144644+248
9Swansea341012124344–142
10West Ham35119154149–842
11Fulham351010154453–940
12Stoke35913133141–1040
13Southampton35912144757–1039
14Norwich35814133354–2138
15Sunderland34910153845–737
16Newcastle United35107184366–2337
17Aston Villa34810163663–2734
18Wigan3488183962–2332
19Queens Park Rangers35413182956–2725
20Reading35510203765–2825


Here he comes: Van Persie was met with a frosty reception as he walked back onto the pitch at the Emirates
RVP akiingia dimbani pembeni wakiwepo wahudumu wa ndege ya Fly Emirates wadhamini wakuu wa Arsenal ikiwa ni pongezi kwa wachezaji wa Man utd kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini England mwaka 2012/13
Clinical: Theo Walcott put Arsenal a goal to the good after just two minutes
Walcott akifunga goli pekee la Arsenal

Blast from the past: Arsenal fans watched Robin van Persie net from the spot for United to equalise
RVP akifunga goli la kusawazisha kwa penati

No comments:

Post a Comment