Monday, July 15, 2013

Man utd yatoa ofa ya paundi mil 26 kumsajili Cesc

Red Devils? Fabregas (left) and Robin van Persie could be reunited following their spell at Arsenal
Baada ya Thiago kusajiliwa na Bayern Munich, klabu ya Man utd imehamishia majeshi ya usajili kwa Cesc Fabregas na imeshatoa ofa ya paundi mil 26 kwa klabu ya Barcelona ili kumsajili kiungo wa klabu huyo. Lengo kuu la kutaka kumsajili Fabregas ni kuimarisha safu ya kiungo pamoja na kumchezesha Robin Van Persie na mchezaji aliyemzoea, kwani Cesc alishacheza na RVP kwa muda mrefu wakiwa Arsenal. Man utd imekuwa kwenye harakati za kusajili kiungo mwenye uzoefu ili kuziba pengo la Paul Scholes aliyestaafu na vilevile kumpatia Rooney nafasi ya kucheza kama mshambuliaji badala ya nafasi ya kiungo.

No comments:

Post a Comment