Sergio Aguero akimchezea rafu mbaya David Luiz katika mchezo wa FA cup nusu fainali kati ya Man City na Chelsea, lakini mwamuzi wa kati na pembeni hawakuweza kuona ukubwa wa rafu hiyo. Picha za televisheni zimeonesha ukubwa wa rafu yenyewe ambayo ilistahili kadi nyekundu. Lakini FA wameliona kosa hilo wamesema watalifanyia kazi kwani refa pia ni mwanadamu sio kila kosa ataweza kuliona. Katika mchezo wa jana Man city walifanikiwa kuingia fainali baada ya kuwafunga Chelsea goli 2-1 |
huyo anastahil adhabu nje ya uwanja
ReplyDelete