Van Persie akimkumbatia Sir Alex kufurahia goli alilofunga leo dhidi ya Stoke, Van Persie alikuwa kwenye ukame wa kufunga magoli baada ya kufunga goli la mwisho Feb 10, hali hii ilimfanya akose raha ndani ya club akizongwa na msongo wa mawazo, lakini leo ameweza kuondoa nuksi hiyo ya kutofunga magoli baada ya kufunga goli la pili kwa Man utd na kuiwezesha Man utd kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Stoke |
No comments:
Post a Comment