Tuesday, April 2, 2013

Ronaldo amefanana na shabiki wake

Cristiano Ronaldo leo asubuhi amepiga picha na mshabiki anayefanana naye. Cheki picha, utafikiria mtoto wake kuanzia paji la uso, macho, nywele na hereni. Ronaldo mwenyewe alimkubali ikabidi apige naye picha. 

No comments:

Post a Comment