Friday, June 28, 2013

Mazoezi muhimu, Smith na mkewe mazoezini Hawaii

Toned: Will showed off his muscles while he ran along the beach sweating it out
Muigizaji maarufu duniani Will Smith pamoja na mkewe Jada wameonekana wakifanya mazoezi ya nguvu kwenye fukwe za Hawaii ili kupunguza uzito wa miili yao. Smith anayeonekana kunenepa ghafla, ameamua kutumia muda huu wa mapumziko kufanya mazoezi ili kupunguza uzito na kurudisha mwili wake kwenye uzito wa kawaida. 
Active: While they may have been on holiday the pair both saw the importance of working out  Active: While they may have been on holiday the pair both saw the importance of working out
Smith hoiiiiiii, tofauti na mkewe ambaye anaonekana kutunza vyema mwili wake 

That'll be work out! Jada looked tiny as she lay on the large surfboard

No comments:

Post a Comment