Saturday, July 13, 2013

Hivi Welbeck anapigaga hizi chenga??? Aibuuuu hii

Mcheki Danny Welbeck alivyochemsha kupiga chenga na kujikuta anazomewa na mashabiki katika mechi ya leo kati ya Thailand na Man utd. Welbeck alitaka kuonesha manjonjo mambo yakagoma. Sijui kama anapigaga chenga za namna hii akiwa kwenye ligi ya UK. 


No comments:

Post a Comment