Saturday, July 13, 2013

Thailand 1 - 0 Manchester United - Mechi ya kirafiki

Starting XI: David Moyes first team to play under his stewardship
Timu ya Man utd leo imepoteza mchezao wake wa kwanza katika ziara zake bara la Asia baada ya kufungwa goli 1-0 na timu ya taifa ya Thailand (Singha All Stars). Mchezo huu ni wa kwanza kwa kocha mpya wa Man utd David Moyes ambaye amejiunga na Man utd mwaka huu baada ya Sir Alex kustaafu. 

Angalia goli lilivyofungwa

Firing in: Tom Cleverley runs away from Mario Djurovski and takes a shotGood workout: Ben Amos punches a cross away with Rio Ferdinand in front of him
England striker: Danny Welbeck tussles with Singha All Star's Kim Yoo-Jin
Start of the season friendly: David Moyes gesticulates angrily as his United side look sluggish

No comments:

Post a Comment