Sunday, August 18, 2013

Rooney bado hana furaha kuwepo Man utd

On the outside: Wayne Rooney (second left) appears not to celebrate Manchester United's third goal with team-mates
Picha hii inamuonesha Rooney akiwa peke yake wakati wachezaji wenzake wakishangilia goli la tatu dhidi ya Swansea. Rooney amefikia hatua hii baada ya klabu yake kugoma kumuuza kwenda Chelsea au Arsenal kutokana na ukweli kwamba Man utd bado inatambua kuwa Rooney ni mchezaji mzuri na bado inamuhitaji. Rooney ameomba kuhama ili aweze kupata nafasi ya kucheza nafasi ya ushambuliaji tofauti na sasa ambapo analazimishwa kucheza nafasi ya kiungo.  
Peripheral figure: Rooney (eighth right) chats with referee Phil Dowd as United celbrate Danny Welbeck making it 4-1
Resignd to his fate: Rooney will remain a Manchester United player for this season
Rooney akipena mkono na kocha Moyes baada ya mchezo kuisha. Picha hii inamuonesha Rooney akiwa hana furaha mbali ya ushindi iliyoupata Man utd. 

No comments:

Post a Comment