Friday, September 27, 2013

Pires atambelea mazoezi ya Arsenal

Man-to-man: Pires offers advice to £42million man Mesut Ozil in Arsenal training
Robert Pires (kulia) mchezaji wa zamani wa Arsenal akiongea na Ozil kwenye mazoezi ya Arsenal jana jioni. Pires ni moja ya wachezaji waliounda  kikosi cha Arsenal cha mwaka 2003-04, kikosi ambacho hadi leo ni historia kwa klabu ya Arsenal na duniani kwa ujumla, kwani walicheza mechi zote za ligi bila kufungwa hata mechi moja. Pires ameungana na wachezaji wa sasa wa Arsenal ili kuwapa mawazo na kuwashauri akiwa kama mchezaji mkongwe.  
Pires Ozil Pires Mertesacker
Looking on: Theo Walcott watches training with manager Arsene Wenger at London Colney
Walcott pia alikuwepo kwenye mazoezi pamoja na kocha Wenger. Walcott ni majeruhi ataweza kukaa nje kwa wiki mbili hadi tano. 
Fight: Kieran Gibbs and Nicklas Bendtner battle for the ball in preparation for the trip to SwanseaHead and shoulders above: Per Mertesacker leads Ozil and wonderkid Serge Gnabry in a run

No comments:

Post a Comment