Thursday, September 12, 2013

Rooney ameshapona, anatarajia kurudi wiki ijayo

On the mend: Wayne Rooney poses with a fan after recovering from his head injury - he was back in training for the first time on Wednesday
Mshambuliaji wa Man utd Wayne Rooney akionesha paji lake la uso baada ya kupona majeraha aliyoyapata akiwa mazoezini. Picha hii inamuonesha alinavyoonekana sasa na picha ya chini inamuonesha alivyokuwa baada ya kuumia. Rooney anatarajia kuwepo kwenye mechi kati ya Man utd na Man city jumapili ya wiki inayokuja. 
Nasty: Wayne Rooney's head injury kept him out of England's matches but he is now back in training
Rooney alivyokuwa baada ya kuumia

No comments:

Post a Comment