Thursday, October 3, 2013

Di Maria Full kiwango RABONA ASSIST!!!!

He's got skills: Di Maria took full advantage of Gareth Bale's absence to put in a man-of-the-match performance
Di Maria (Real Madrid) akipiga krosi kwa style ya Rabona, krosi hii ilimfikia Ronaldo na kufunga goli la pili dhidi ya FC Copenhagen.
Cristiano Ronaldo
Ronaldo akifunga goli baada ya kupokea pasi kutoka kwa Di Maria. Goli hili ni moja ya magoli mazuri ambayo yameshafungwa hadi sasa kwenye michuano ya msimu huu Uefa champions.

Video zinazoonesha goli hilo

No comments:

Post a Comment