Friday, December 20, 2013

Mourinho amtosa Cole kwenye mechi ya Arsenal

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema beki wa kushoto wa klabu hiyo, Ashley Cole hatacheza kwenye mechi dhidi ya Arsenal jumatatu ijayo kwasababu alishiriki kwenye pati ya Xmas pamoja na wachezaji wa Arsenal. Cole alifanya kitendo hicho wiki hii baada ya kujumuika pamoja na wachezaji wa klabu ya Arsenal kwenye ukumbi wa starehe usiku wa manane. 
Out on the town: Ashley Cole partied with the Arsenal players after Chelsea's Christmas party was cancelled
Postponed: Chelsea manager Jose Mourinho cancelled the club's Christmas party Gatecrashing: Ashley Cole joined Arsenal on their Christmas night out after Chelsea's was cancelled
All together now! Arsenal's squad pose for a picture before heading out to the Christmas bash
Mattheu Flamini dressed as Mario for Arsenal's Christmas party Per Mertesacker dressed as a pirate for Arsenal's Christmas party
Superman: Mesut Ozil (Superman) poses with Lukas Podolski (The Hulk, left) and Bacary Sagna
Nicklas Bendtner after Arsenal's Christmas party Carl Jenkinson dressed as Wally for the Arsenal night out

No comments:

Post a Comment