Monday, May 13, 2013

Wachezaji wa Man utd kila mtu na wake kula raha

Rooney, RVP, Scholes, Rio, Giggs na Young usiku wa kuamkia leo wameonekana na wapenzi wao kwenye kumbi mbali mbali za starehe kula raha baada ya kukabidhiwa kombe. Wachezaji hao walionekana kwenye kumbi hizo kuanzia saa tano usiku hadi saa kumi na moja asubuhi. Hii imekuwa ni mara ya tatu kwa wachezaji wa Man utd kuonekana mtaani wakijichanganya kwenye kumbi za starehe kusherehekea ubingwa bila kujali umaarufu wao. 

On the move: Rooney Dutch of class: Van Persie
Retired: Scholes Legend: Giggs
Crocked: Young Late one: Ferdinand
Keep up: Young England midfielder Tom Cleverley with girlfriend Georgina Dorsett Two's company: Defender Phil Jones and girlfriend Kaya Hall celebrated his first Premier League win
Hop along: Chris Smalling was still sporting his crutches as he arrived with his girlfriend Sam Cooke Winning mentality: Diminutive French star Patrice Evra and his wife Sandra
A striking partner: Portuguese winger Nani with his girlfriend View from a blue: City fan Ricky Hatton was out
Winner: Club captain Nemanja Vidic and wife Ana Ivanovic made a low key entrance to the restaurant Star man: Robin van Persie and wife Bouchra put in an appearance at the restaurant
Flying solo: Shinji Kagawa and David De Gea both arrived separately without partners Flying solo: Shinji Kagawa and David De Gea both arrived separately without partners
Full house: The low key affair featured most of the Manchester United first team regulars
Hii ndiyo club waliyoingia kula raha Man utd

No comments:

Post a Comment