Friday, December 20, 2013

Mohamed Salah kujiunga na Liverpool

 Mohamed Zika tells Egyptian TV that close friend Mohamed Salah will join Liverpool from Basel in January [Video]
Mohamed Salah ametajwa kujiunga na klabu ya Liverpool kwenye dirisha dogo mwezi January 2014. Mchezaji huyu kwa sasa anachezea klabu ya Basel na alifanikiwa kuwafunga Chelsea mara mbili kwenye mechi za makundi Uefa champions. Mohamed Zika rafiki mkubwa wa Salah ndiye aliyethibitisha uhamisho wa mchezaji huyu wakati akihojiwa na TV moja nchini Misri. Salah anatarajiwa kuhama Basel kwenda Liverpool kwa kitita cha paundi mil 20. 

No comments:

Post a Comment