Saturday, January 4, 2014

Solskjaer ashinda mechi ya kwanza dk za mwisho

Cup of joy: Ole Gunnar Solskjaer celebrates during Cardiff's 2-1 victory at Newcastle
Mshambuliaji wa zamani wa Man utd ambaye kwasasa ni kocha wa Cardiff Ole Gunnar Solskjaer akishangilia baada ya timu yake kupanda ushindi dakika za mwisho dhidi ya Newcastle United kwenye michuano ya FA cup. Mechi hii ni ya kwanza kwa Solskjaer kuiongoza kama kocha baada ya kuchukua mikoba ya Malky Mackay aliyefukuzwa kazi. Cardiff ilikuwa nyuma kwa goli moja hadi kipindi cha pili dakika ya 73 walipoweza kusawazisha na kupata goli la ushindi dakika ya 80. 

Salute: Solksjaer acknowledges the visiting fans following Cardiff's win
Head boy: Fraizer Campbell climbs to nod the winning goal for Cardiff
Red star: Campbell, a former Sunderland player, enjoys his winner
 Campbell akishangilia baada ya kufunga goli la ushindi dakika ya 80

Newcastle United (4-2-3-1): Elliot 6, Santon 6, S.Taylor 6, Yanga-Mbiwa 6, Haidara 7; Anita 6, Tiote 5; Sissoko 6 (Remy 85), Ben Arfa 6, Gouffran 6 (Obertan 62, 3); Cisse 6 (Shola Ameobi 85). 
Subs not used: Williamson, Sammy Ameobi, Dummett, Alnwick. Booked: Taylor, Ben Arfa.

Cardiff City (4-4-2): Marshall 7, McNaughton 6, Hudson 7, Turner 7, John 6; Cowie 6, Whittingham 7, Kim 8 (Smith 79), Gunnarsson 7; Cornelius 5 (F.Campbell 60, 7), Odemwingie 6 (Noone 72, 7). 
Subs not used: Caulker, Brayford, Conway, Lewis. Booked: Gunnarsson.

Referee: Andrew Taylor 7.
Man of the match: Kim Bo-Yung.
Attendance: 31,166

No comments:

Post a Comment