Wednesday, February 26, 2014

Khedira awatembelea wachezaji wenzake Ujerumani

Khedira pays his teammates a visit
Kiungo wa Real Madrid, Sami Khedira akisalimiana na Sergio Ramos muda mfupi kabla ya mechi kati ya Schalke na Real Madrid. Khedira alikwenda kwenye hoteli waliyofikia Real Madrid ili kuwasalimia na kuwapa moyo wachezaji wanzake kabla ya mechi. Khedira yupo nchini Ujerumani akiendelea na matibabu ya kifundo cha mguu baada ya kupata majeraha. 

No comments:

Post a Comment