Wednesday, February 26, 2014

Vidic kujiunga na Inter Milan mwisho wa msimu

On his way: Inter Milan are set to announce the signing of Nemanja Vidic this week
Sportsmail linasema klabu ya Inter Milan itatangaza usajili wa Nemanja Vidic muda wowote kabla ya wikiendi hii. Taarifa hizi zinasema, Inter Milan wameshasaini mkataba wa kumsajili mchezaji huyu kwa jumla ya paundi mil 20 na anatarajiwa kujiunga na klabu hiyo mwishoni mwa msimu. Vidic alishasema kuwa msimu huu ni wa mwisho akiwa na United, aumuzi aliyoufanya kwasababu za kutaka kubadilisha mazingira baada ya kuicheza na United kwa muda mrefu. 

No comments:

Post a Comment