Saturday, February 1, 2014

Kim Kallstrom kukaa benchi mwezi mzima

BfZLmaVCcAED wE Kim Kallstrom was injured BEFORE he signed for Arsenal on deadline day!!!
Kiungo mpya wa Arsenal aliyesajiliwa kutoka klabu ya Spartak Moscow ni majaruhi. Kim alipatwa na matatizo ya mgongo wiki iliyopita akiwa kwenye mazoezi na klabu yake nchini Abu Dhabi. Imesemekana kuwa kocha Wenger alikubali mchezaji huyu asajiliwe hata kama ni majeruhi ili aweze kuisaidia timu pindi atakapopona. Taarifa za ugonjwa wake zilikuwa hazijawa wazi ikihisiwa kwamba Kim ni majeruhi wa kukaa benchi mechi moja hadi mbili, lakini taarifa kamili zinasema Kim atakuwa benchi kwa takribani mwezi mmoja hadi apone. 

No comments:

Post a Comment