Sunday, February 16, 2014

Mkataba mpya wa Rooney na Man utd umekaribia

Making his point: Wayne Rooney could pen a huge £300,000-a-week deal at Manchester United this week
Klabu ya Man utd na Wayne Rooney wamekaribia kukubaliana ili kuongeza mkataba wa mchezaji huyu baada ya kufanya mazungumzo ya muda mrefu. Rooney aliyekuwa na mipango ya kujiunga na Chelsea, ameshakubali kuendelea na Man utd na kuitosha Chelsea, licha ya kuwa mkataba kamili unatarajiwa kufungwa wakati wowote kabla ya wikiendi ijayo. Mkataba mpya wa Rooney utamuwezesha kulipwa paundi laki 3 kwa wiki na utakuwa ni mkataba wa miaka mitano na nusu. 

No comments:

Post a Comment