Sunday, February 16, 2014

Picha: KOMOROZINE 2 - 5 YOUNG AFRICANS

Mrisho Ngasa akipokea zawadi ya mpira kutoka kwa mwamuzi wa mchezo kutoka Sychelles Allister Barra baada ya kufunga mabao matatu (hat-trick) dhidi ya Komorozine de Domoni. Wafungaji wengine walikuwa ni Kiiza na Msuva. 

Benchi la ufundi la Yanga likiwa katika picha ya pamoja na Balozi Chabaka


Watanzania waishio Komoro walivyojitokeza kuishangilia Yanga 





Balozi wa Tanzania Comoro Chabaka Kilumanga akiwa pamoja na familia yake na maafisa ubalozi katikati wakiwa na Mrisho Ngasa 




Msafara wa timu ya Young Africans ulipata pia fursa ya kumtembelea Balozi wa Tanzania nchini Comoro Bw Chabaka Kilumnaga kufuatia mwaliko wa timu pamoja na viongozi katika hafla ya chakula cha mchana nyumbani kwake eneo la Itsandra Moroni.

No comments:

Post a Comment