Saturday, February 1, 2014

Simba yashinda goli 4 dhidi ya JKT Oljoro

MATOKEO: SIMBA Klabu ya Simba leo imeibuka na ushindi mnono wa magoli 4 - 0 JKT Oljoro. Tambwe amefunga magoli matatu na goli moja amefunga Jonas Mkude. Ramadhani Yahya Singano ‘Messi’ ameendelea kuwa mwiba mkali kwa kuonesha uwezo wa hali ya juu. Matokeo mengine ya mechi ya leo, Mgambo imeshinda magoli 2-0 dhidi ya Ashanti. Watani wa jadi wa Simba, klabu ya Yanga yenyewe itashuka dimbani kesho jijini Dar kukabiliana na Mbeya City kwenye mechi inayotabiriwa kuwa ni ngumu yenye ushindani. 

No comments:

Post a Comment